Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Nyani, angalia nimekutumia PMKiranga angesema 'wamempendekeza' lol. Licha ya hivyo sioni ubaya wa bang kumuunga mkono jk
Ukilisoma walahi waweza kulia
BANG ni gazeti lililojaa waandishi wachanga katika fani!! Au tuseme waandishi voda fasta! Hawajui ethics za kazi zao!! Kwa hiyo mimi siwashangai!!!
Wao wanaamini kwenye kijupendekeza kwa watawala! Kama radia Clouds ilivyo!! Ni vichaa wasiofaa katika jamii.
Pole ndugu nimepitia maoni ya wenzetu, hawajajibu swali. Na mie nilitamani kujua inaruhusiwa au la? Anayejua tusaidie jamaniNimelipitia toleo la mwezi huu na kukuta mmiliki wake akisema wao kama gazeti wanampitisha JK kuwa mgombea anayefaa.
Kisheria hii ni sawasawa kweli au haya magazines hayabanwi na sheria kama ya manyuzpepaz?
Bila shaka hili ni gazeti la maggid:ranger: