Bangala aongeza mkataba Jangwani

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Klabu ya Yanga[emoji617] imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wa timu hiyo Yannick Bangala[emoji1078] baada ya kuvutiwa na kiwango cha nyota huyo raia wa DR Congo[emoji1078].

Awali nyota huyo alisaini mkataba wa miaka miwili ambao ungemuweka klabuni hapo hadi mwaka 2023 ila kwa sasa atasalia klabuni hapo hadi mwaka 2024.



Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana.Kazi yake imeonekana na kujidhihirisha.Huyu Jamaa Ni Mtu wa kazi kweli kweli
 
Aucho tunafinalize mkataba wake, tutampa ontract ext Hadi 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…