Plot4Sale Bangalo ndani ya kiwanja cha square mita 4,000

Plot4Sale Bangalo ndani ya kiwanja cha square mita 4,000

Joined
Jul 15, 2015
Posts
53
Reaction score
11
Kiwanja kinaunzwa
Kipo karibu na barabara ya kuelekea goba
Eneo ni mbezi louis
Umbali kutoka barabara kuu ni mita 20
Kubwa square mitre 4,000
Eneo linafaa kwa biashara mbali mbali
Bei milioni mia sita 600,000,000/=
Mazungumzo yapo na karibu sana
Mawasiliano piga sim 0713660178

IMG_20210613_113138.jpg


IMG_20210613_111645.jpg
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Milioni mia 600,Wenye hela zao wanatoa fasta hakuna kubageini hapo
 
Kiwanja cha heka moja kasoro mita 700 na mjengo kwa gharama ya 600m, basi sawa...
 
Kwa hiyo kwa hizo sqm 4000 unapata 10x400 (20 kwa 20). Kwa hiyo kiwanja kimoja cha kawaida ni 60M? Goba?
 
Back
Top Bottom