ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 May 29, 2010 #1 Afande Sele.
Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member Joined May 23, 2010 Posts 646 Reaction score 129 May 29, 2010 #2 ivi uyu ni mtanzania kweli? dah!
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 May 29, 2010 Thread starter #3 mpeni sifa yesu said: ivi uyu ni mtanzania kweli? Dah! Click to expand... mtz halisi. Vijana wasema ndo mzuka...
mpeni sifa yesu said: ivi uyu ni mtanzania kweli? Dah! Click to expand... mtz halisi. Vijana wasema ndo mzuka...
K kaiya Member Joined May 7, 2010 Posts 87 Reaction score 0 May 29, 2010 #4 Sasa mbona kaushikilia mtarimbo!!! au nawenyewe ulikuwa mzuka! hahahaaaa
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 May 29, 2010 #5 Acheni bana mbona hata Akon na Wyclif hufanya hayo!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 May 29, 2010 #6 Wyclif amependeza sana na hiyo boxer yake......woooow
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 May 29, 2010 Thread starter #7 masanilo said: acheni bana mbona hata akon na wyclif hufanya hayo! Click to expand... masa, fananisha hata mazingira..hiyo pitshot ya sele na ya akon ni kama soko la tandale na kibaigwa.
masanilo said: acheni bana mbona hata akon na wyclif hufanya hayo! Click to expand... masa, fananisha hata mazingira..hiyo pitshot ya sele na ya akon ni kama soko la tandale na kibaigwa.
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,474 Reaction score 4,039 May 29, 2010 #8 Aww!Wycliff ana kifua eeh!..ila afande ile sijui ni boska/pichu au bukta!..looh!!
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 May 29, 2010 #9 furaha ikizidi hekima ni upumbavu mtupu
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 May 29, 2010 #10 BelindaJacob said: Aww!Wycliff ana kifua eeh!..ila afande ile sijui ni boska/pichu au bukta!..looh!! Click to expand... kifua cha akon kimetulia sana bana....wyclif ni boska ndio imemtoa...ila kifua cha yule mwanakwetu pale juu mmh sijui ni shauri ya ugali na mbilimbi?
BelindaJacob said: Aww!Wycliff ana kifua eeh!..ila afande ile sijui ni boska/pichu au bukta!..looh!! Click to expand... kifua cha akon kimetulia sana bana....wyclif ni boska ndio imemtoa...ila kifua cha yule mwanakwetu pale juu mmh sijui ni shauri ya ugali na mbilimbi?
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 May 29, 2010 #11 Hawa jamaa zetu wa Bongo wanavuta bangi bila kula halafu wanakuwa wehu!! Afande Sele alikuwa mburudishaji mzuri, na mashairi yake yalikuwa murua sasa hili ganja limemuua kabisa!!
Hawa jamaa zetu wa Bongo wanavuta bangi bila kula halafu wanakuwa wehu!! Afande Sele alikuwa mburudishaji mzuri, na mashairi yake yalikuwa murua sasa hili ganja limemuua kabisa!!
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 May 30, 2010 Thread starter #12 Sijui kama ukiwa na wanao NA MKEO unAweza KUTHUBUTU kukemea siku wakiwavulia nguo wenGINE hadharani kama hivi.
Sijui kama ukiwa na wanao NA MKEO unAweza KUTHUBUTU kukemea siku wakiwavulia nguo wenGINE hadharani kama hivi.
Principessa Member Joined Mar 5, 2009 Posts 47 Reaction score 5 May 31, 2010 #13 tatizo la waswahili ndio hilo...kwani mpaka tuige kila kitu?hata upumbavu??? Masanilo said: Acheni bana mbona hata Akon na Wyclif hufanya hayo! Click to expand...
tatizo la waswahili ndio hilo...kwani mpaka tuige kila kitu?hata upumbavu??? Masanilo said: Acheni bana mbona hata Akon na Wyclif hufanya hayo! Click to expand...