Siku moja kule mji kasoro bahari Moro maeneo ya mji mpya kulikuna wafuta bangi 2 wakibishana kuhusu mwezi ua jua kwakweli muda ulikua wa jioni jua limesha zama Vuta 1:-lile jua Vuta 2:-Hapana ule mwezi Vuta 1:-Wewe kanja imekukubali mapema lile jua Vuta 2:-Wewe kanja umechanganya na kinyesi cha mtu imepanda haraka ule mwezi Kwa bahati mimi nikakatiza Vuta 1:-Bro samahani tukuulize at lile jua au mwezi Mimi :- Washkaji mimi mgeni sehemu hii hata sijui kama mwezi au jua