Bangi ihalalishwe

legalize marijuana....it is cure for TB, cure for AsthmaIm de bush doctoraisee nimemkumbuka hayati PETER TOSH
 

there you go again, GOOGLING, wewe hata desertation yako ni kugoogle tu, poor creature, tumia akili yako wakati mwingine, acha kukariri utakariri na mengine ambayo hayafai hata kukariri..watu kama wewe huwa sipotezi muda kuargue nao..bado uko mbali sana...
 
Na kuelekea 2015, vijana wa CDM wanaihitaji sana ili kuwapa mori wa kupigania haki ya kuingia ikulu, kulinda kura zao bila woga, n.k. Si unaona vijana hawatukani kwenye post hii bali wanashabikia?
unauhakika kama wanaoshabikia ni vijana wa CDM ? Hebu weka ushahidi maana naona wewe akili zako hazitofautiani na yule mp aliyependekeza jana bungeni bange nchini ihalalishwe sasa utajua mwenyewe anatoka chama gani.:tape2:
 
Hivi mkuu wewe ni ndugu na yule mbunge aliyehalisha BANGI jana na akashauri kuwa OF ALL OF THINGS IN TZ tuexport bangi? Acheni mawazo yenu ya KIBANGIBANGI.
 
Mkuu MZIZIMKAVU, Baada ya kufuatilia taarifa za bungeni jana nilitoka na wazo moja kwamba wakati mwingine ni bora sana kujiuliza kama bado tunafikiri sawasawa hasa kwenye masuala ya msingi kwetu.Jana mbunge mmoja bungeni aliuliza kwanini bangi haihalalishwi kwa sababu inasoko hivyo kitakuwa chanzo kizuri cha mapato,(bangi?) alitaka kutuaminisha kwamba afya si jambo la msingi mbele ya fedha. hii ni hatari sana. kufungua huku nimekutana na uzi huu nao umenikumbusha jambo la jana nikarudia tena tunahitaji kujipima kama kweli bado akili zetu wengine zinzfanya kazi sawasawa , huyu bwana kajenga kahoja kasiko na mashiko ati inatibu wakati madhara yake ni makubwa maradufu kuliko kajifaida alikokataja. hapa tunapata picha kwamba bwana huyu anafikiri fedha zaidi ya afya za watu kama ni hivyo kesho si atakuja na hoja ya UNGA? HAPANA TUNAHITAJI KUJIPIMA KAMA KWELI BADO TUNATUMIA AKILI ZETU SAWASAWA.:smile-big::smile-big:
 
Mkuu maishamagumutanzania Hii dunia haijali watu uzima inajali Mungu Pesa hakuna kitu kingine kinachoabudiwa katka hii Dunia kuliko hiyo ya Mungu

Pesa Viongozi wa hii dunia ni Wachafu wanajali sana Pesa kuliko utu wa Binadamu ndio maana kuna Maradhi mengi tu na serikali inasema bila ya kufany a Vitendo kwa mfano suala la Ugonjwa wa Malaria Serikali imeshindwa kuthibiti

uchafu unaozalishwa na wadudu mbu madimbwi ya maji yako kila sehemu katka nchi yetu je hao mbu kweli wataweza kufa? Serikali yetu haifanyi kazi kuwasaidia wananchi bali inafanya kazi kwa mslahi ya watu wachache waliopo

madarakani ndio wanaofaidi na matunda ya Serikali waliobakia wananchi wanakufa kwa njaa umeme,ukosefu wa maji safi na umasikini je kweli tutaendelea kweli kimaisha sisi walala hoi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mkaliwakitaa nimesha kuelewa wewe ni Mvuta Bangi mimi siwezi kushindani na mtu mwenye akili ya kuvuta :Bangi ninakuacha kama ulivyo kwenda zako na upuuzi wako wa kuvuta Bangi Vuta Bangi matokeo yake utayaona inshallah.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma maelezo ya watu kwa kina lakini nimejifunza sana kutokana na maoni ya watu.

Ki-ukweli watu waeleweshwe na waelewe na sio kukariri na kusikiliza maneno ya watu.

Kwanza sisi tunapokaa na kupoteza muda kuona kuwa Marijuana ni mbaya, wenzetu wanasheria za kuruhusu Hemp ilimwe na itumike viwandani kutengeneza Nguo, Vinywaji, Kamba, vyakula, Mafuta, dawa, losheni na cosmetics, plastic nk. sisi bado tunashikilia imani za miaka ya 1930's ambazo ni tofauti na utafiti wa sasa. Tusidanganyane, Tanzania hakuna project yoyote iliyofanyika kuchunguza Marijuana na empact zake nchini, hivyo nashauri ifanyike.

Pili iruhusiwe itumike katika viwanda kutengeneza products mbalimbali ziinue uchumi. Kuhusu kuhalalisha watu watumie kurelax, sishauri hilo maana bado vijana wanatakiwa waelimishwe juu ya kuitumia, nimechunguza vijana wengi wanaotumia hawafuati taratibu za kiafya kama kutumia ukiwa above 21 ages, usitumie kuchanganya na pombe wala sigara, n.k, Kumbuka MARIJUANA NI SAFE THAN CIGARETTE, ALCOHOL, PEANUT, ASPIRIN ukiitumia safe....n.k

Marekani na nchi nyingine mfano Netherlands zimefanikiwa kuruhusu na kucontrol marijuana vyema.



Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kisayansi unaosema Marijuana na hatari kama itatumiwa peke yake. Nani aliyeuumba mmea huo? kwanini tuseme mmea huo ni Illegal? Katika dini kama Buddhism, Hinduism, Rastafari, Zion Coptic mmea huo una heshima yake na hutumika kufanyia meditation.


N.B; NA SIO KILA MTUMIAJI WA POT HAJITAMBUI, NO.......! WAPO WATUMIAJI WA POT MAOFISINI, HOSPITALINI, KWENYE DINI , TENA WENYE AKILI ZAO, FAMILIA, NA WANAOJITAMBUA. Tuwe na respect na sio kuhukumu tu watu kwa Stereotype.
 

Attachments

  • 547454_500843083298755_2131766672_n.png
    56.1 KB · Views: 45
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…