Bangi ilinisaidia nifaulu chuo, naiheshimu sana

anarchist

Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
42
Reaction score
193
Bangi sitoweza kuisahau kwenye maisha yangu sababu ya faida kubwa iliyonipatia na kunisaidia kwenye kufanikisha ndoto zangu .

Wakati nasoma shule sikuwahi kusimama mbele ya darasa na kuzungumza au kuwasilisha mada yeyote,lakini nilivyoanza chuo hali ikawa tofauti ilikuwa ni lazima kufanya presentation ili uweze kupata maksi zako 10 na usipofanya utafeli tu au hata utakatishiwa masomo yako Kwahiyo ilikuwa vigumu kukwepa.Binafsi nilikuwa mtu wa aibu sana sikuwa na confidence kabisa jambo lililonisababishia nianze kuvuta cannabis au marijuana au kwa jina lingine Ganja

Ilikuwa siku ya kufanya presentation kama ni leo jumatatu saa tatu asubuhi basi mimi nashuka bondeno huku nyumbani na nilikuwa naishi uswahilini hivyo ilikuwa rahisi kupata dawa hapo navuta dawa 8 ,10 na chache nabeba kuelekea nazo chuo huko navuta kama 4 ndio naingia class sasa hapo unakuwa higher than technological in Japan ,hata hall liwe na watu 400 nawaona kawaida mno sasa hapo bila hata ya karatasi una present mada zako kwa kujiamini kabisa hata kwa dakika 40 unaserereka na hiyo ndio ilikuwa siri yangu mimi kufanikiwa kwenye nyanja ya presentation chuoni na maksi nilikuwa nazipata sana tofauti na wengine nilikuwa nawaona wakiwa kwenye podium huwa wanajing'atang'ata na kujichanganya tu ..na baada ya presentation wale waliokuwa wanataka kukukomesha kwa kuuliza maswali nilikuwa nadadavua kwa sifa mpaka lecture anasema basi muda utaisha nenda kakae Kwahiyo nilikuwa sikomesheki .

Kiukweli kabisa Ganja ilinisaidia sana maisha yangu ya chuo

Bangi ni nzuri kuliko sigara na pombe

1)Bangi sio addictive kama sigara na pombe ..mvuta Bangi akitaka kuacha Bangi anaacha sababu cannabis ni less addictive kuliko sigara ,pombe na heroine lakini mvuta sigara kamwe hawezi kuacha sigara atahangaika wee lkn atarudi kwenye uvutaji wa sigara ,na mlevi hawezi kuacha kunywa pombe mpaka waende sober wengi wanapenda kuacha lakini hawawezi kabisa sababu addiction yake ni kubwa na mla unga hawezi kuacha unga mpaka aende sober tena for years ndio ataacha ..lakini marijuana unaweza ukaacha leo ukakaa kwa miezi ,miaka usivute na ikawa fresh

2.mywa pombe/mlevi huwa ana fujo sana akishalewa na anakuwa hawezi kuji control ataropoka ,atatukana ,atapiga makelele na kusababisha noise pollution na atafanya fujo ila Ganja ikimkolea mtu anakuwa kajituliza akifanya meditation na huwa anajielewa na mla unga huwa hajielewi kama mlevi

3.Mlevi anakuwa hawezi kufanya kazi lakini cannabis humfanya mtu afanye kazi ngumu kama wakulima huvuta ili waweze kulima ekari nyingi nk ,pia hufanya watu wafanye kazi nyingi tu kwa confidence unlike alcohol

4.sigara husababisha cancer kama lung cancer ,pombe husababisha cancer na huharibu ini na wanasayansi wanasema pombe inywe kidogo sana hata glass moja ya pombe kila siku haifai lkn hakuna study inayosema ganja husababisha cancer yeyote ile Kwahiyo kwa madhara sigara na pombe zina madhara kuliko ganja

5.Studies zinaonyesha wavuta ganja wana high life expectancy kuliko wasio vuta lkn pombe ,sigara hufupisha maisha

6.mnywa pombe hawezi kuji control miguu hulegea lkn cannabis huwa yupo kawaida


sigara ,pombe,unga zina madhara makubwa sana kuliko Cannabis


Marijuana never hurt no body ,it's all propaganda

Alcohol noxious, but still legal because it provide dem so much capital

The healing of the nation that is the truth

Genesis 1:29 is my proof
 
Ndiiiooooooo naunga mkono hoja, ningeshauri serikali yetu ihalalishe bangi ili kuongeza ajira, kujipatia fedha za kigeni kwakua tutauza sana nje pia itasaidia kupunguza msongamano gerezani kwakua wengi wanaenda jela kwa kula huu mmea asilia!
 
[emoji55] [emoji55] [emoji55]
 
Bangi kabla serikali haijachachamaa enzi hizo kijijini kwetu mbegu zake ilikua kiungo kizuri sana cha mboga mboga! Haijawai mdhuru yeyote na sometimes tulikua tunatafuna mbegu kama kiburudisho tu km ilivyo karanga
 
Tru jah jah bless I with nuff a good vibes man
And true mi a di artist with di ganja inna di land
Make doctors get 'nuff medication
And so dem coulda give it to dem sick patients
Make get chemists get 'nuff medication
And so dem coulda brew new medication
Make singers get some inspiration
And so dem coulda spread jah message pon di land... Me a chant
 
Hii nayo ni akili ya bangi .
 
Yani kama vijana tunaowategemea kulikomboa taifa miaka ya mbeleni, basi nchi yetu ina safari ndefu sana mpaka tuje kupata maendeleo tunayoyahitaji .
 
Mods futa huu uzi, unahamasisha matumizi ya bangi kwa vijana hasa walioko mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…