Bangi ilinisaidia nifaulu chuo, naiheshimu sana

Kuvuta kwangu weed kote (zaidi ya miaka 10)...nimegundua ni stimulant ambayo ni cheap,,,,na haina madhara makubwa kama vileo vingine...ila kitu kimoja ni kwamba nishavunja mahusiano zaidi ya mara 4, pindi wasichana niliodate nao wakibaini nakula mmea wanaanza kupata hofu mawasiliano hupungua, mwisho wa siku mahusiano huvunjika. Lakini sasa nna demu mmoja na anajua nakula kitu lakini ananielewa sana japokuwa ananishauri niache.
 
Nimesoma kwa lafudhi ya kijamaika hahaha hadi nimecheka mwenyewe[emoji23] [emoji23]
 
Cannabis ndo kila kitu ila unapata ya wapi manake zingine ni nourma sana.
Mimi napata cha Ethiopia. Hicho unagusa tu pafu mbili baassss. Ila bei yake ni nourma vile vile. It cures all types of cancer.
 
MIE MSTAARABU SANA.. na bangi navuta mara moja kwa miez mitatu... ndio dozi yangu.. sijawahi kuwa chizi.. wala kuzubaa.. wala sijawahi kufanya mambo ya ajabu... WANAISINGIZIA TU..
 
Nyi ndiyo mnasupplya bangi kwa Mrema Na Lugola na matunda tunayaona, si haba.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Iv Kati ya MCHAGA na BANGI nani anatoka MOSHI....

BANGI ACHA IITWE BANGI!!!
 
naunga mkono hoja...pamoja sana mleta mada
 
Legalize it, and i will advertise it
 
Yani kama vijana tunaowategemea kulikomboa taifa miaka ya mbeleni, basi nchi yetu ina safari ndefu sana mpaka tuje kupata maendeleo tunayoyahitaji .
Wakombozi/wana mapinduzi wengi walikuwa wavutaji wa cannabis

-Che Guevara
-Bob Marley
-fidelito Castro
-George Washington
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…