Bangi ilinisaidia nifaulu chuo, naiheshimu sana

Ila ajira hupatapata
 
Subiri bado una moshi kichwani.
 
Cannabis ndo kila kitu ila unapata ya wapi manake zingine ni nourma sana.
Mimi napata cha Ethiopia. Hicho unagusa tu pafu mbili baassss. Ila bei yake ni nourma vile vile. It cures all types of cancer.
hook a brotha up.
 
bhang inategemea na kichwa cha mhusika mana wengne wanakuwa kama maboya
 
Kuna jamaa chuoni alishatembea na boxer mchana kweupe huku anaimba HipHop kisa bangi. Ilipofika Ambulance na kumchukua akaanza kulia kama mtoto mdogo kuulizwa nini tatizo anadai Hajafa ila wanampeleka mochwali. Bangi inategemea kichwa na kichwa mkuu
 
Miaka hyo nafika sengerema boys nakutana na story kuwa alitokea jamaa mmoja alikuwa anasoma form 6 pcb. Bangi na yeye ni sawa na samaki na maji. Ilikuwa analala mchana class haingii ikifika mida ya jion kuanzia saa moja baada ya chakula cha jion jamaa huvuta bangi zake from 8pm to 6am yuko class
Matokeo ya mock kanda mzima ya ziwa aliongoza kwa dv one ya point 5. From that time mkuu wa shule akampa Uhuru kutokufanya kazi yoyote yeye asomete tu japo hakujua kama jamaa anakula msuba. Ajabu ikatokea wengine wakaanza kuinga ile style ya maisha kuvuta na kusoma. Hahahaha iliwashinda maana waliishie kuvuta bangi na kula chakula cha watu watatu mtu mmoja. Jamaa yeye aliendelea kufanya wonders maana alipga one ya point 4 necta wale walio ingi waliishia kupga zero za kutosha
Hili jani wapo ambao linawapendeza na wengine kuwakataa inategemea na akili yako itakavyo lipokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi iko poa inanifanya nafanya mambo yangu kwa makini sana na kujiamini
Inanifanya nakua mtulivu huku nikifikiria vitu chanya sana
Nauheshimu mmea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…