Mtoto wa tembo
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 198
- 30
Mwezi mmoja uliopita jeshi la polisi lilitangaza kukamatwa kwa magunia tisini ya bangi na ushahidi wa picha ulikuwepo
chakushangaza ni hayo magunia yalikua tisini pindi walipoyakamata,muda huu yamebaki kama mgunia matano nadhani.
sasa kama polisi kunaibiwa huku ngalolo tutakua salama kweli??
Waandishi wa habari wanatakiwa wahji hili suala',walipoyakamata waliwaita ....vipi wakati wa uteketezaji kwanini hawkutaarifiwa??