Mtoto wa tembo
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 198
- 30
We hii mvua hauioni ??
Mengine yamesombwa na mafuriko.
My goodness yamebaki matano? He Basi hicho kituo wanaomcha Mungu wapo kidogo huku KWETU lisingebaki gunia hata moja wangeacha mawili matatu yenye TEMBELE KAVU... Chezea polisi Wa Jk weye.mwezi mmoja uliopita jeshi la polisi lilitangaza kukamatwa kwa magunia tisini ya bangi na ushahidi wa picha ulikuwepo
chakushangaza ni hayo magunia yalikua tisini pindi walipoyakamata,muda huu yamebaki kama mgunia matano nadhani.
sasa kama polisi kunaibiwa huku ngalolo tutakua salama kweli??
waandishi wa habari wanatakiwa wahji hili suala',walipoyakamata waliwaita ....vipi wakati wa uteketezaji kwanini hawkutaarifiwa??
We hii mvua hauioni ??
Mengine yamesombwa na mafuriko.
My goodness yamebaki matano? He Basi hicho kituo wanaomcha Mungu wapo kidogo huku KWETU lisingebaki gunia hata moja wangeacha mawili matatu yenye TEMBELE KAVU... Chezea polisi Wa Jk weye.
ndio maana wakati mwingine ukienda polisi unawakuta macho mekunduu halafu wakali!kumbe wanamsubiri mkuu wa kituo aende lunch wao wapige mambo!
Ha ha ha,ndio maana wakati mwingine ukienda polisi unawakuta macho mekunduu halafu wakali!kumbe wanamsubiri mkuu wa kituo aende lunch wao wapige mambo!
Vielelezo vinatunzwa bohari kuu dar hayo matano ni sample ya magunia yaliyokamatwa