BANGI MBAYA

BANGI MBAYA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Umeshawai vuta bangi mpaka mama ako anakwambia kuna arusi ya auntie yako unamuuliza mwili unatolewa monchwari saa ngapi*

[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo ndo utakapojua kweli ''No body can stop reggae''
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kadata kitambo tuu,usisingizie bangi mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna majani haramu mkuu, usisikie. Kula tu mboga zinazo eleweka, ukila haya madudu ya kijamaika lazima tu utakuwa na itilafu fulani miongoni mwako.
 
Kuna siku nilivuta bangi na masela kama nusu kilo tulikuwa watu 16. Kuanza kutembea nilidhani nipo baharini kumbe nakanyaga barabara.[emoji27] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom