Bangi mixer (bangi+tumbaku) imenitoa nishai

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
531
Wasalaaam!
kwanza niombe Msamaha kwa Mola wangu "astghafirullah,astaghafirullah,astaghafirullah" mola wangu nisamehe...

Ndugu zangu Ujana umenivunjia Heshima, Jana Wakati wa Adhuhuri nilipata BANGI ilo kuwa Mixed na Sigara/tumbaku lakini matokeo yake haikuwa Tema Starehe ila Mateso Mapigo tya Moyo yalikuwa Juu sana Nikahisi Nakufa Soon.

Ilibidi niwaambie Majirani kuwa Najiskia Vibaya Sana wanipeleke hospital Japo baadae nilibadili Uamuzi na Kutulia Nione hali itakuwaje. Alhamdulillah Hali ikawa shwari japo hadi leo nahisi uchovu wa Mwili!!

NIMEJIONA SINA MAANA.
BANGI SIO NZURI
 
bangi ukiivuta ukiwa na na ukata au njaa lazima ikupe wenge.. mbona mi nalichanganya na mavi ya punda na nalipuliza vizuri tu bila ya uchovu
 
Bangi bila kula ulitegemea kitokee nini?
 
Mara nyingine ukishavuta ,kunywa soda ya cocacola bariidi,
 
Mimi naona mpaka sasa bado inakutesa.
 
Mkuu mambo ya kuharibiana biashara na starehe zetu siyo issue kabisa...tafuta gear nyingine.
 
Mixer Mchungwa Nge!
Kama sio mvutaji mzoefu mabangi ya kuchanganya yatakuumbua siku moja... Siku ukikutana na mixer ya gozo lazima uombe kunya kwanza.
 
Hiyo bangi haitoki kichwani hadi miaka saba.
 
mwaka 1993 nlivuta bangi nkatembea kwa mguu toka Arusha hadi mkuu Rombo....hatari sana....
 
Mtu smart huwezi kuvuta bangi bangi huvuta watu wasiojielewa. Kama mimi sina shida ya kuvuta bangi. Najua kuna idara nyengine za serikalini haziendi bila kuvuta bange.
 
Kesho uvute usitoe matetere ,ndo itakua swaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…