Bangi mixer (bangi+tumbaku) imenitoa nishai

Mtu smart huwezi kuvuta bangi bangi huvuta watu wasiojielewa. Kama mimi sina shida ya kuvuta bangi. Najua kuna idara nyengine za serikalini haziendi bila kuvuta bange.
Omba msamahaa bro!!
Watu tupo smart na tunatupia kiaina!!
 
Kuna dogo mmoja alivuta bhangi iliyovundikwa ktk kinyesi cha ng'ombe......

Jamaa kufika kwako akaanza kupigwa kelele analiwa kiboga.... Bibi yake akahisi ni mashetani... Akaanza kumchomea Udi na Ubani.... Kumbe dogo ni mjani umepanda kichwani...
 
Mtu smart huwezi kuvuta bangi bangi huvuta watu wasiojielewa. Kama mimi sina shida ya kuvuta bangi. Najua kuna idara nyengine za serikalini haziendi bila kuvuta bange.
Tutake radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…