hahahahahahahaha nooma sana!! wameingia mitini,
Kuna mmoja aliniambia msanii wao atumii kilevi wala havuti namgojeea hapa
hiyo picha ni photoshop imetengenezwa na watu wa upande wa pili
wakuu hiyo picha ni photoshop
Haaaah kwaiyo diamond Ana miliki hili gazeti tulia we huyo ndo king kiba naona ela za ccm zishaanza kumlevya
Yaan magazeti hayaaaa khaaa eti Jokate upoo!!!!
Dina nimependa avatar yako mweh