Bangi na pombe vyamlevya Ali Kiba, apiga usingizi ukumbini

Ana laana ya kusaliti watanzania,kavutishwa na makada wa magamba,akome na makofia yake ya mikeka
 
mzurimie samsun njooni mcheke huku
Kalikuwa hakajapata shoo muda mrefu kwa hiyo katakuwa kalipania sana, sasa na timu wema inampelekesha anaambiwa ole wake asipoposti habari za ccm hawatampigia kura tena kwenye ktma, kameona kale bhangi kujisahaulisha matatizo hasa ukidhingatia na joketi mwenyewe ana "rambo" na mashabiki wenyewe washaanza kumtusi.
 

Ahahahahaa!!!!!Ally amekwisha kabisa sasa hivi!Wema anampeleka vibayaaaa
 
hahahahahahahaha nooma sana!! wameingia mitini,

Huyu jamaa si unajua alikuwa alosto takribani 3yrs back huko? full kufungwa??? Sasa naona baada ya diamond kumrudisha kwenye ramani na acc kuanza kusoma kidogooo starehee mbele kwa mbele kama kauli mbiu ya ccm, anakula faida ya kuicheketulia ccm so mumuwacheee kibakuli wao
 
Last edited by a moderator:
Kama mwenyezi mungu ameamua kukuhifadhi atakuhifadhi tuu,hata binadamu akikutupia tope.........
 
Hahahahaha naona umewaita wale ngumi mkononi jina la kiba linapotajwa vibaya
Angalau nifah anajielewa akiona kimtu chake kimeboronga anapita kimya kimya kuliko hao wengine waliojitoa akili jumla.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…