Utafiti unaendela kuhusu matumizi ya bangi athari zake na faida yake.
Cha kushangaza kuna wasomi wazito wamegundua kuwa Bangi au Canabis ikitumika katika jamii tokea enzi za mitume ikiwemo enzi za Nabii Musa na Yesu fuata link hizi upate ufaham
Tanbihi: Binafsi siungi mkono matumizi wala biashara yoyote inayohusu mihadarati au bagi na madwa yoyotè. Walaaniwe wasambazaji na wauzaji madawa hayo katika jamii.