[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kuvuta bangi mpaka rafiki yako anakwambia kesho harusi ya dada yake wewe ukamuuliza "mwili utaletwa saa ngapi"!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kuvuta bangi mpaka rafiki yako anakwambia kesho harusi ya dada yake wewe ukamuuliza "mwili utaletwa saa ngapi"!?
Nilishawahi kuvuta na njaa lakini siku moja nilipitiliza, rafiki yangu baba yake alikuwa anasumbuliwa na mkojo hautoki sasa akaja maskani kutuelezea mi nikamjibu "SI UMNYONYE TU"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bangi na njaa kweli haviendani