The Master pizo
Senior Member
- Dec 18, 2019
- 149
- 125
Niliacha kuvuta bangi tangu ile siku nilienda msibani wenzangu wanalia mimi nikawa naimba happy birthday to you..
😂😂
😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti eeeeeBangi haina huo utopolo labda ulivuta matakataka
sijasingizia bwana ulikuwa ni ule ule mjani wenyeweNaona matatizo yako unaisingizia bange...[emoji263][emoji263]
uyoga tena mzaziNever happened,hii sio Mary jane kijana,utakua ulikula mushroom
Ukiwa huna kichwa ndumu lazima ikuzingue....ganja inahitaji kichwasijasingizia bwana ulikuwa ni ule ule mjani wenyewe
balaa zito hiloUkiwa huna kichwa ndumu lazima ikuzingue....ganja inahitaji kichwa