Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe,
Mmoja kachukua dhahabu, wa pili kachukua pesa , wa tatu kakaa dukani,
Mwenye duka kaja na polisi kufungua mlango wakamkuta jamaa kakaa mguu juu ya mguu
Akaulizwa: kwa nn hukutoroka kama wenzako..??
Kajibu: Sisi tulikuwa watatu mmoja kachukua dhahabu, mwengine pesa na mm nimechukua duka