Bangi siachi

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
*Mda huu kuna member mmoja wa group hili yupo guest
*Mda huu kuna member mwingine yupo na mke wa mtu/mme wa mtu[emoji15][emoji15][emoji15]
*Mda huu kuna member kavimbiwaa[emoji36][emoji36][emoji36]
*Mda huu kuna member kalewaa chakaliii[emoji34][emoji34][emoji34]
*Mda huu kuna member anakunywa maji tuu na kiporo cha ugali[emoji57][emoji57]
*mda huu kuna member mpenzi wake ana cheat yupo na boya mwngne[emoji51][emoji51][emoji51][emoji34][emoji34]
*Mda huu kuna member yupo uchi
*mda huu kuna member kapewa fek promisse[emoji85][emoji85][emoji85]
*mda huu kuna member hana dira anazurura tu kama kuku[emoji15][emoji15][emoji34][emoji3][emoji3]

Na bangi siachi [emoji57]
OVER!!.
EXIT[emoji34]

#MWELEVU_KAN'GAMUAAA
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya RastaFarians na Bhangi?
 
aya bas sawaaa tukutaneee mirembeeeeee #dr wao ndo kasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…