UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 942 Reaction score 567 Mar 31, 2020 #1 Habari ndugu zangu, kama bandiko linavyo someka kuwa Bango dogo la biashara isiyozidi 300,000 linalipiwa barabarani? Kwa mwenye kujua anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu zangu, kama bandiko linavyo someka kuwa Bango dogo la biashara isiyozidi 300,000 linalipiwa barabarani? Kwa mwenye kujua anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 942 Reaction score 567 Mar 31, 2020 Thread starter #2 RRONDO said: Una maanisha laki 3 au? Click to expand... Ndio nauza bolt mtaji wake hauzidi laki 3 Sent using Jamii Forums mobile app
RRONDO said: Una maanisha laki 3 au? Click to expand... Ndio nauza bolt mtaji wake hauzidi laki 3 Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Mar 31, 2020 #3 Kwa Laki 3 Unafikia watu wengi sana kupitia Facebook Ads, Google Ads, Twitter Ads na Instagram Ads.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Mar 31, 2020 #4 Nadhan hujamuelewa, ana biashara mtaji wake laki 3, anauliza bango la barabaran kwa ajir ya biashara watakuja kumsumbua alipie? Mkaruka said: Kwa Laki 3 Unafikia watu wengi sana kupitia Facebook Ads, Google Ads, Twitter Ads na Instagram Ads. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan hujamuelewa, ana biashara mtaji wake laki 3, anauliza bango la barabaran kwa ajir ya biashara watakuja kumsumbua alipie? Mkaruka said: Kwa Laki 3 Unafikia watu wengi sana kupitia Facebook Ads, Google Ads, Twitter Ads na Instagram Ads. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Mar 31, 2020 #5 Mkuu watu wanaokusanya ushuru wa mabango huwa hawaangalii mtaji wa biashara, wao wanaangalia ukubwa wa bango lako! Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wanaokusanya ushuru wa mabango huwa hawaangalii mtaji wa biashara, wao wanaangalia ukubwa wa bango lako! Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Mar 31, 2020 #6 Malipo lazima