Bango Hili la Kiingereza Dar: Close vs. Cross

Bango Hili la Kiingereza Dar: Close vs. Cross

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085
Kwa wale wanaofahamu eneo la Malanja...... Tusaidieni hili. Ni Close au Cross?
 

Attachments

  • Malanja.jpg
    Malanja.jpg
    693.1 KB · Views: 167
Kwenye bango inaadikwa 'close' kama unaweza kuona. Kwa Kiingereza 'close' ni mtaa (street au avenue) ambapo watu wanaishi (residential area) na huwezi kupita mtaa hii, yaani, mahali unapoingia mtaa hii ni pale pale unapotoka - huwezi kupita. Kwa nini walitumia neno hili kwenye bango, sijui!
 
unapoingia mtaa hii ni pale pale unapotoka - huwezi kupita. Kwa nini walitumia neno hili kwenye bango, sijui!


OK. Mkanganyiko kwani "Malanja Cross" liko Ngorongro ambalo hunganisha Ngorongoro Crater na Olbal-bal. Makampuni ya Kitalii yalipenda kutumia jina hilo kutokana na changamoto ya kukatiza hapo. Sasa huyu bwana ndani ya Dar aniita '' Close '" badala ya cross, majina ya Mtaa hutolea na nani??
 
Close: A dead end street (Cul de sac)
 
Back
Top Bottom