Kwenye bango inaadikwa 'close' kama unaweza kuona. Kwa Kiingereza 'close' ni mtaa (street au avenue) ambapo watu wanaishi (residential area) na huwezi kupita mtaa hii, yaani, mahali unapoingia mtaa hii ni pale pale unapotoka - huwezi kupita. Kwa nini walitumia neno hili kwenye bango, sijui!