johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ππCcm inajikomba kwa chadema ili ikubaliwe ndivyo inavyotafsirika kama sivyo? Stand by your own feet.
Umesema ukweli kabisa!Ccm inajikomba kwa chadema ili ikubaliwe ndivyo inavyotafsirika kama sivyo? Stand by your own feet.
Kwa sasa Lissu anaichukia sana chadema.Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI la CCM
Picha hiyo ilipigwa Siku ya Wanawake duniani Mjini Moshi ambapo ilitegemewa CPA Ruge ndio ang'are pichani na Rais Samia pamoja na Viongozi wa Bawacha
CCM wamesema Picha hizo zinazopendwa na Wananchi wote zitabakia barabarani π
Mlale Unono ππ
Hiyo ndio siri Mungu aliyoiweka yaani Sura sio Roho, ungejua mawazo ya ndani hata wasingekaa pamojaMara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI la CCM