Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
ABC wamerusha taulo,
Na kuuzwa kwa access bank,
Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1,
Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti,
Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja,
Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao
Nilijibiwa kwamba wapo kwenye maboresho,
Kifupi kuna dalili ya watu kuanza kukatwa marejesho kabla ya kupata hela,...
Ee mola okoa waja wako
😝😝😝
Mytake
Poleni mliomba mikopo kwa bank hii,
Kwasasa tujifunze kuwa sio kila bank ni bank..
Wengine ni wahuni tu
=======
Access Bank Plc has completed the acquisition of African Banking Corporation of Tanzania (ABCT) Limited, a subsidiary of Atlas Mara Limited, through a majority equity stake, initially announced in July 2023.
Access Bank plans to merge ABCT with the consumer, private, and banking businesses of Standard Chartered Bank Tanzania, which it is also set to acquire. This merger will form Access Bank Tanzania.
Access Bank stated that Access Bank Tanzania will prioritise customer satisfaction, financial inclusion, and technological advancement to drive positive change and growth in the country.