Kama umekosea kuingiza PIN mara tatu lakini unaifahamu PIN, basi PIN yako inaweza kubadilishwa au card yako inakuwa unlocked iweze kutumika tena.
Kama umesahau kabisa PIN, basi PIN haiwezi kubadilishwa kwenye kadi na inabidi upate kadi mpya. Hii ni kwasababu ya jinsi hizi kazi zenye chip zinavyofanya kazi, unapoingiza PIN kwenye machine machine inaiuliza kadi(Ambayo inahifadhi PIN in encrypted form) kama pin ni sawa, kadi ikisema NO hakuna kinachoendelea baada ya hapo, ikisema YES ndo unaweza kuanza function kama za kubadili PIN.