Nenda NMB riba yao naona iko vizuri nilikopa 10mil nilirudisha kama 1.3mil interest yao

mkuu nmb zamani sio miaka hii,
hiyo interest sio kweli, labda kama ulikopa miezi mitatu
hyo interest ni kwa mda gan kiongozi?
mkuu nmb zamani sio miaka hii,
Mwaka juzi mkuu lakini mweka jana pia march nimechukuwa 3mil narudisha 3404000. muda ni mwaka mmoja ambapo kila mwezi napeleka 283600