Bank gani inatoa Mkopo wa kununulia gari ya Kazi?

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello wakuu.

Naombeni msaada wenu please,

Nahitaji bank ambayo inatoa mkopo wa kununulia gari ya kufanyanyia Kazi, mwenye uzoefu wa hii issue naomba msaada wenu please gari yenyewe ndio hiyo. Ni Howo pamoja na flatbed trailer yake kutoka China.

 
Kuna kitu tanzania tumelala sana.
Kuna nchi nilifika hapo kwa madiba.
Benki ina mkopo wa makazi na usafiri na kama ndio unafanya kazi ukiwa unakila kitu kwenye kigezo unapata.
Nakumbuka ABSA ya south africa nilipokuwa kikazi mwaka jana.
 
Tender ya kusafirisha mizigo kupitia hiyo gari unayotaka kununua kwa mkopo ni za uhakika, kama sio za uhakika sikushauri.
 
Bongo mikopo inamasharti mengi sana, hata umiliki hati ya kiwanja chenye thamani, bado mkopo utasota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…