Bank gani inayogharamia hata 70% ya LPO?

evan rwiza

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
38
Reaction score
25
habari wakuu, naomba kujua bank gani ambayo ina huduma ya ku finance lpo kwa kampun? yani nikipata LPO ya kutoa huduma fulan bank gank ambayo ina huduma ya kutoa kiasi flan cha pesa hata 70% ya kiasi chote ambacho kiko kwenye LPO ili niweze kutoa hyo huduma kikamilifu then nikiishalipwa wakate chao + riba? ni bank gan?
 
Nenda CRDB azikiwe Tower Branch kama upo DSM
Lpo wanakupa mpaka 75%
Ila mwanzo utatumia gharama kubwa kujisajiri kama 2m ili uanze kupata pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…