Equity, kwa sh. 400k wanakata sh. 700 tu.
Kuhamisha pesa kutoka benki kwenda kwwnye simu hilo ndo majanga. Utapigwa mpaka uchakae. Nadhan mitandao ya simu ndo wanahusika kweny hii transaction.
Mm ni mtumiaji wa equity sana. Na nina uhakika na ninachokiandika. Wanakata 700 kwa kila laki 4. Ila ukienda kutoa kwa teller ni 1500.Yaan naona wengi hawajagudnua .Mie ilibidi niende kbs bank kuhakiki...mashenzi Sana ..equity ni sawa na nmb tu
Wengi wanasema equity iko vizuri maana NMB katika transaction ya 74k wanikata zaidi ya 4000 na hata nilipolipia DSTV wamekata pia na VAT juuMm ni mtumiaji wa equity sana. Na nina uhakika na ninachokiandika. Wanakata 700 kwa kila laki 4. Ila ukienda kutoa kwa teller ni 1500.
Labda kama kuna kajanja kadha wa kadha kwa baadhi ya wateja .
Wee unaongelea EQUITY BANK ya Marekani,Hii ni kweli?View attachment 1522556