Amani Ndoroma
Member
- Aug 14, 2018
- 71
- 21
Na shukuru sana kaka....na vipi kuhusu interest rate wanatoa aslimia ngapi?Kama ni kwaajili ya kupokelea mkopo ni vyema ukajua kwanza chuo unachoenda wanatumia bank gani hii itakuwa rahisi kwenye suala la kuwekewa fedha, mfano kama chuo kinatumia crdb na ww fungua crdb, benki tofauti na chuo hula Mara nying wanachelewe kuwekewa mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kaka....na vipi kuhusu interest rate wanatoa ngapi,,CRDB ile kadi yao ya VISA au MasterCard itakuruhusu kununua vitabu online na kulipia vitu vingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua NMB mkuu.
1: inapatikana kila sehemu hadi wilaya za mbali mbali.
2:kama ni student account haina makato yoyote yaani ukiweka elf 20 leo baada ya miezi 6 utakuta elfu 20 tofauti na bank nyingine
3: rahisi sana kufungua
NB: masomo mema wakusoma
Sent using Jamii Forums mobile app