wanazitia kwenye INCUBATORS zitotoe vifaranga pesa ili nao wapate faida,
ha ha haaaaahhh!!!!
JF so boring these days.
1. Biashara kubwa ya banks kwa tanzania ni loans! kwa hiyo wanafanya deposit mobilisation kwanza then ndo wanakopesha. wanafaidika kutokana na interest wanayocharge, na fees mbalimbali za kuprocess mkopo wako.
2. katika Insurance firms kuna products mbalimbali ambazo ni special kwa ajili ya ku insure mali ikiwamo na pesa, sijaona wala kusikia hata moja ambayo inarushusu ukae na pesa zako nyumbani. Na sababu nayofikiri ni kwamba ukikaa na pesa nyumbani risk inaongezeka maradufu, kitu kinachokinzana na insurance policies.
3. Kama umechukua mkopo kwenye hizi benki kubwa ( let say CRDB, NMB, NBC, Stanbic etc) ni lazima uwe insured, na insurance inategemeana nadhani na kampuni waliyoingia nayo ubia, na insurance huwa ni either life insurance policy au kwenye property.
Kwenye hizi microfinance maranyingi huwa hawatumii insurance policies, wao wanatumia gurantee ambayo yaweza kuwa ni group liability scheme au personal guarantee.
wanawekeza....
Mkuu kuna maximum amount ambayo kama benki ikifirisika Government inaweza kukurudishia (I dont know about Tanzanian Banks) lakini UK nadhani amount hiyo ni kama 700,000/= GB pounds..., (am not exactly sure about the amount) sasa mfano una 1million pounds na benki inafilisika, serikali inaweza ikakurefund 700K peke yake thats why baada ya credit crunch baadhi ya matajiri walijitahidi kuspread pesa zao benki tofauti..., Am sure hii nchi ilivyo ya kisanii Benki ikifilisika pesa zako ndio sahau it will be another DESIAsante Mkuu,
Maana yangu ni kwamba, Say I am having 20Millions Cash, this money in Liquid haiwezi kuwa insured ikiwa mikononi mwangu, Kama iko bank, Bank ndio ina insure saving zake.
wanazitia kwenye INCUBATORS zitotoe vifaranga pesa ili nao wapate faida,
ha ha haaaaahhh!!!!
JF so boring these days.
Kaka kwa ujumla 20 miliions kuwa nazo alafu uinsure inakuwa ngumu. Kwanza utatuhakikishiaje kama hizo pesa zitakuwa salama? Mfano unazihifadhi ww alafu zikaibiwa ni nani atakayetusibitishia kuwa hizo pesa kweli zimeibiwa. kwa sababu hata taarifa za polisi mara nyingi zinachakachuliwa. Hii inawezeka kama unakopesha hizo pesa kwa watu alafu ukawa una insure hiyo mikopo na insurance company ili kama wale unaowakopesha wakishindwa kuludisha basi uweze kuwa compansated. Japo kwa wabongo watachakachua ile mbaya, uaminifu kwetu bado sana. Biashara ya insurance premium utakayolipa inategemea "likelyhood" ya either ajali kutokea ama laa. Kama wanajua kuwa "incidents is very likely to happen" ujiandae na premium kubwa ajabu, ama wakatae kukupa policy. Nani asiyependa faida???
Salaam kwenu,
1. Naomba nisaidiwe kwenye hili, Ninapo/tunapo deposit pesa zetu Bank, wao Bank
wanazifanyia nini hizi pesa?
2. Ni vipi unaweza ku-insure pesa, mfano ninapesa zangu nataka zikae home....Naweza kuzi
insure?
3. kama nimechukua Mkopo sehemu, naweza ku insure hiyo pesa, Je mfano nimechukua
Million 15.........Insurance charge inaweza kuwa Kiasi gani % gani ya pesa hii?
Tafadhali msaada tafadhali, Unaweza kunijibu swali lolote kati ya haya.
Asanteni
Mkuu kuna maximum amount ambayo kama benki ikifirisika Government inaweza kukurudishia (I dont know about Tanzanian Banks) lakini UK nadhani amount hiyo ni kama 700,000/= GB pounds..., (am not exactly sure about the amount) sasa mfano una 1million pounds na benki inafilisika, serikali inaweza ikakurefund 700K peke yake thats why baada ya credit crunch baadhi ya matajiri walijitahidi kuspread pesa zao benki tofauti..., Am sure hii nchi ilivyo ya kisanii Benki ikifilisika pesa zako ndio sahau it will be another DESI
1. Biashara kubwa ya banks kwa tanzania ni loans! kwa hiyo wanafanya deposit mobilisation kwanza then ndo wanakopesha. wanafaidika kutokana na interest wanayocharge, na fees mbalimbali za kuprocess mkopo wako.
2. katika Insurance firms kuna products mbalimbali ambazo ni special kwa ajili ya ku insure mali ikiwamo na pesa, sijaona wala kusikia hata moja ambayo inarushusu ukae na pesa zako nyumbani. Na sababu nayofikiri ni kwamba ukikaa na pesa nyumbani risk inaongezeka maradufu, kitu kinachokinzana na insurance policies.
3. Kama umechukua mkopo kwenye hizi benki kubwa ( let say CRDB, NMB, NBC, Stanbic etc) ni lazima uwe insured, na insurance inategemeana nadhani na kampuni waliyoingia nayo ubia, na insurance huwa ni either life insurance policy au kwenye property.
Kwenye hizi microfinance maranyingi huwa hawatumii insurance policies, wao wanatumia gurantee ambayo yaweza kuwa ni group liability scheme au personal guarantee.
Mkuu nakujibu jinsi nilivyo elwa maswali yako.
1. Mkuu pesa ndio zao kuu la benki I hope unalitambua hilo. Unapo deposit pesa zako benki, hiyo cash yako kwa benki inakuwa ni asset to that bank in such a manner that wanatumia hizo pesa zako kukopesha wakopaji ili walipe riba wanayo pangiwa na benki husika. Na pia ukikopa 15m benki, hiyo pesa uliokopa inakua liability to the bank. There4 utakuta kwamba if you deposit pesa interest unayolipwa (depending on the type of account) na benki nindogo kuliko riba utakayo lipa benki ukikopa. Wanatumia pesa zako kupata pesa. Pia kumbuka kwamba ukideposit pesa benki hutoweza kutoa pesa zote lazima kiasi kidogo kibakie benki. Kuna percentage kwa kila deposit inayotakiwa to be held within the bank. Ndio maana huwezi kutoa pesa zote. Mfano mwingine, Benki ya Stanbic kwa sasa inatangaza sana mikopo kwa wale waliona fixed deposits. Actually they came up with such an idea kwa vile the withdrawals are higher than the loans. Banks dont make much money when you withdrawal but they make money when you take a loan and they become safer when you make deposits.
2. i) If you put your money under the mattress unarisk sana mkuu. Kwanza hutokuwa na guarantee kwamba ukienda kazini utakuta nyumba ikosalama. Kila ukionapo simu ya nyumbani mapigo ya moyo yatabadilika kwa rate kubwa hata kabla hujaanza kuongea. Chung asana usije ukapata majonjwa ya kujitakia!! No assurance. BUT if you deposit pesa zako benki kwa mfano on a fixed account, pesa zako ziko insured na benki husika.
ii) Tukienda kwa upande wa insurance firms hakuna firm itakayo kubaliana na wewe kuweka pesa nyumbani bcoz insurance firms are not there to create risks. Sheria ya insurance hairuhusu.
iii) Mkuu I hope wewe sio fisadi kwanini hutaki kupeleka pesa benki??!!! Nakupa hii mbinu ya kifisadi. Katika banking (or financial institution) kuna program called CDARS, which stands for the Certificate of Deposit Account Registry Service. Hii service inakuruhusu wewe depositor to insure funds zako hadi $50m kwa kuruhusu benki husika kusambaza kiwango cha pesa zako over several accounts in order to fully insure your money. Kwa hiyo benki huwa zinasaidia mafisadi kuficha idadi ya pesa walizonazo ili kiasi kamili kisijulikane kwa kutumia sheria hiyo ya CDARS.
Kwa hiyo mkuu ukiweka pesa home zitaliwa na panya!! Bora zipeleke benki.
3. Its like wewe unataka to insure pesa taslim!! Ila nakubaliana na RICH DAD kama alivyo elezea katika hiki kipengele kuhusu insurance za microfinance na beki kubwa. Ila mimi nakushauri insure either biashara yako au collateral yako kabla hujachukua huo mkopo. Ukifanya hivyo benki watakupa mkopo kwa riba nafuu kwavile tayari benki husika itakuwa na uwakika wa kupata pesa zake kwa vile uko na insurance. Napia utakuwa na uwezo wa kuuza huo mkopo wako (ambao unadaiwa na benki ulio kopa) kwa benki nyingine just incase ukizidiwa. Na riba ya insurance firm kama National insurance cooperation (NIC) if you are insure your collateral ni 2.5% kwa mwaka kama upo hapa bongo.
So make sure angalau you play with two banks while depositing pesa zako.
Asante Sana Mkuu, Prime DYnamics!
Hii shule imenisaidia sana.
Sasa mfano nachukua mkopo kwa kutumia salary, kuwa makato yanapita kwa Bank. Meaning sina collateral, Hapa sioni a way ya Insurance. And unaweza ku insure shamba lisilo na mazao?
what about kiwanja?