Bank inayofaa kwa biashara ya utalii ni ipi?

stevenmakalla

New Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Team, from your experience ni bank gani nzuri kwa kampuni ya utalii?

Ukizingatia yafatayo

1. Makato nafuu
2. Huduma nzuri za kiofisi
3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k.
4. Smooth transactions

Share your experience kuhusu good services ulizowahi kuzipata katika bank fulani.
 
Usitafute bank kubwa zenye wateja wengi.

Tafuta bank ndogo ambayo ukipata shida unampigia hata Branch Manager akakusaidia ishu yako.
 
Nadhani Stanbic watakufaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…