Rjohn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 613
- 128
Wadau habari?
Naomba hiyo tittle ihusike, niambieni ipi ni bank ambayo naweza kukopa ikiwa na unafuu wa riba na makato. Mimi ni Mtumishi wa Serikali, naomba msaada wenu kujua kat ya NMB, CRDB, Postal.
Nataraji kupata msaada wenu wenye uzoefu au ufahamu juu ya hilo..
Nawasilisha!