Wadau habari?
Naomba hiyo tittle ihusike ,
niambieni ipi ni bank ambayo
naweza kopa ikiwa naunafuu wa
riba namakato mimi nimtumishi
wa serikali , naomba msaada
wenu kujua kat ya nmb,crdb na
postal , nataraji kupata msaada
wenu wenye uzoef au ufaham
juu ya hilo
nawasilisha!
Ahsanteni nyote kwamichango
Posta na crdb...