nmb ndo baba lao..nenda kakope
Mbona hamtaji hizo riba na gharama za mikopo ili tupime ipi ni nafuu?crdb bank ndiyo yenyewe, rate ni za chini kuliko bank nyingine yoyote.
nmb mkuu wameshusha riba zao nenda fasta
Ha ha ha haaah Kaka kwema kabisa bado nipo nasubiri kushuhudia namna vijana wa jangwani watakavyopigishwa kwata nao na mgambo.kaka habari za Tanga?usharudi bro!