Bank kupiga mnada nyumba.

Mshauri awahi aweke pingamizi Mahakamani na sababu zake za msingi za kushindwa kurejesha kwa wakati.

Shauri kuisha. Atakuwa kasharejesha za Oct hadi March zote.

AU
Kama itashindikana tena kupata hela za marejesho licha ya mahakama kukuokoa na kuomba msamaha na iwapo nyumba ina hati , tafuta msela wako (anae kujua vzr na anaweza kukuamini bila shida) ainunue nyumba bila hati (nadhani hati ya nyumba ipo benki) maandishi wawekwe serikalini. Hapa utaiuza ww mwenyewe bila ya mnada (kudhalirishwa) na kuwapa benki hela zao zote na kuachana nao. Pia utabaki na chenji.
 
Itawezekana kama nyumba imeuzwa mkuu?
 
Omba reprieve kupitia court injuction. Itakupa stay of execution for no less than 60 days wakati unajipanga tena.

Kabla ya hapo wakija tena mwambie Mwenyekiti wa Mtaa akuonyeshe court order.
 
Omba reprieve kupitia court injuction. Itakupa stay of execution for no less than 60 days wakati unajipanga tena.

Kabla ya hapo wakija tena mwambie Mwenyekiti wa Mtaa akuonyeshe court order.
Asante sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…