Habari zenu wadau, naomba kujuzwa ni mfumo upi kati ya hiyo mifumo hapo chini unatumika katika Bank za Tanzania?
1⃣ Swift MT104 GPI
2⃣ Swift GPI MT103 direct cash transfer
3⃣ Swift GPI with code
4⃣ Swift GPI automatic / with UETR Code
5⃣ Swift GPI semi-automatic / with UETR Code
6⃣ Swift GPI Manual Download / with UETR Code
Natanguliza Shukrani zangu za dhati.