Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hii bank kuna walimu wanaipigia kelele kwamba wanakata deductions kabisa za makato ya mkopo ambao hawajautoa kabisa na wakipigiwa simu wanajibu kirahisi shida mfumo. Sasa kama shida ni mfumo mbona kwenye kukata tena ambacho hamjampa muhusika mfumo hausumbui?
Vyombo vya dola chunguzeni hii kausha damu.
Source: watumishi ambao wameomba mkopo wameomba niwasemee humu jamiiforum wakiamini mamlaka zitasikia.
Vyombo vya dola chunguzeni hii kausha damu.
Source: watumishi ambao wameomba mkopo wameomba niwasemee humu jamiiforum wakiamini mamlaka zitasikia.