Bank ya Equity imepatwa na nini??

Bank ya Equity imepatwa na nini??

Wix86

Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
64
Reaction score
199
Wakuu hii bank ilikuwa inasifika kwa huduma bora na za haraka hasa kwa miamala ya nje (Swift).

Sasa kilichotokea sasa kwa miezi ya karibuni watu wanalipwa ila hela haziingii kwa wakati kwenye acc.

mfano mwezi uliopita watu wamekaa mpaka wiki mbili ndo wamekuja kuwekewa hela.

Mimi mwezi huu naona naelekea kwenye hizo wiki 2, hela nimelipwa toka juzi ila mpaka leo hamna kitu.

Staff wa equity kama mpo humu mtakimbiwa na wateja wote, wengi tulikuja equity maana miamala ilikuwa fasta, ukilipwa tarehe 21 kesho yake unaamka acc inacheka.

NB; Naomba mtu mwenye uzoefu na bank nyingine wasio na ubabaishaji.
 
Back
Top Bottom