nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 288
- 230
Mimi kama Mteja wa NBC wa siku nyingi nashangazwa na changes zinazotokea NBC sasa hivi hasa tawi la apa Arusha Bondeni. kuna teller 1 tu na mara nyingine wanakua wawili na kuna jamaa ya hatari.
Hivi ni kwamba wameshindwa kuajiri watu ama?.na vijana wapo wengi mtaani...tatizo jingine ni swala la pesa kupotea kwenye account bila maelezo hili swala lishawatokea wengi sana..Nawasilisha