Bank ya walimu ni mkombozi wa walimu au ndio kupe?

ndeweleria

Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
33
Reaction score
18
Wahusika kama ni cwt au na yeyote jukwaani anae elewa kuhusu hili suala la bank ya walimu naomba kupewa mwanga kidogo, nini faida yake kwa mwalimu?ununuzi wa hisa pia ukoje?matawi hadi sasa yameshafunguliwa mangapi?
 
Kuhusu ununuzi wa hisa zinazouzwa na MWALIMU COMMERCIAL BANK piga simu 0764700200
 
Ahsante mkuu, mwisho wa kununua hisa ni lini?na bei ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…