BANK YENYE BEST FIXED INTEREST RATE 2014 to 2015

BANK YENYE BEST FIXED INTEREST RATE 2014 to 2015

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Naumba mdau yeyote anisaidie kunieleza benk zenye best interest rates za fixed accounts, kwa mfano, 1 month rate, 3 mothns rate,6 months rate and 12 months rate.

Nitashukuru kwa ushirikiano
 
Pesa yako kaiwekeze UTT Trust Fund. Baada ya miaka miwili na kuendelea utafurahia mavuno makubwa kuzidi mtu aliyeweka pesa yake bank.
 
Mie nina wazo langu tofaut!! kuweka pesa bank interest yake si kubwa sana ukilinganisha na value ya fixed asset!! kama unapesa lets say 3m ni bora ununue land after 1 year value yake inaeza fika had 4m bt it depends na eneo ununualo km ni town value inapanda haraka kuliko.kijijini!! Mi naona the best place kusecure your value of money ni kubuy fixed asset na si kuweka bank!! Faida yake ni ndogo mnoo kulinganisha na time period uliyofanyia investment.Ovaaa
 
Pesa yako kaiwekeze UTT Trust Fund. Baada ya miaka miwili na kuendelea utafurahia mavuno makubwa kuzidi mtu aliyeweka pesa yake bank.

Hiii UTT inaongelewa sana isijekuwa kama deci
 
Mie nina wazo langu tofaut!! kuweka pesa bank interest yake si kubwa sana ukilinganisha na value ya fixed asset!! kama unapesa lets say 3m ni bora ununue land after 1 year value yake inaeza fika had 4m bt it depends na eneo ununualo km ni town value inapanda haraka kuliko.kijijini!! Mi naona the best place kusecure your value of money ni kubuy fixed asset na si kuweka bank!! Faida yake ni ndogo mnoo kulinganisha na time period uliyofanyia investment.Ovaaa

Umesema vizur sana mkuu, ni vizuri kuinvest kwenye fixed asset inayoappreciate in value kama ardhi, ila sasa muhusika pia anatakiwa aangalie uhitaji wa hiyo hela yake. Kwa upande mwingine ardhi haipo liquid sana, unaweza kufika mwaka mmoja unahitaji hela, ikakuchukua miezi mi3 ya nyongeza kupata mteja wa kununua kwa bei unayohitaji. Ila benki hela unapata mda uleule wa mkataba wa fixed deposit..... Ila ni kweli hamna uwekezaji salama kama uwekezaji wa kwny ardhi na nyumba kama ukifata taratibu zote kwa ufasaha.
 
Back
Top Bottom