Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiy mimi ninaeweka milion naweza kuiba pen ya mia hiz n dharau za wazi walinz wa kaz gan sasaKama kila mteja akichukua pen ya sh100 kila siku hasara watayopata ni kubwa kuliko pesa wanazowatunzia. Naona hesabu hazipandi hakikisha mwanao anakazania hesabu ili asiulize maswali kama haya
Mnaiba na ndio maana zinafungwa. Halafu sio Tz peke yake hata nchi za watu sehemu nyingi tu pen zinafungwakwahiy mimi ninaeweka milion naweza kuiba pen ya mia hiz n dharau za wazi walinz wa kaz gan sasa
ndo mana mi huwa naenda na wembe benki,,,mda ambao joto limejaa mjini, mi nakula kiyoyozi tu, mwisho wembe wangu unafanya kaz kwenye kamba ya peniBANK bwana sie tunaweka mamilioni yetu tuna waamini ila wao peni yao ya sh. 100 wanaifunga kamba ina maanisha hawatuamini????? tutaiba au???
uvivu wa chenji,,, huwez ukatoa elf 10 kwa kalamu ya mia 2Unaenda na mamilion lkn unashndwa kununua peni yako uende nayo du!! tatizo naona lipo kwako