bank za tanzania acheni kutudhalilisha wateja

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
BANK bwana sie tunaweka mamilioni yetu tuna waamini ila wao peni yao ya sh. 100 wanaifunga kamba ina maanisha hawatuamini????? tutaiba au???
 
Kama kila mteja akichukua pen ya sh100 kila siku hasara watayopata ni kubwa kuliko pesa wanazowatunzia. Naona hesabu hazipandi hakikisha mwanao anakazania hesabu ili asiulize maswali kama haya
 
Kama kila mteja akichukua pen ya sh100 kila siku hasara watayopata ni kubwa kuliko pesa wanazowatunzia. Naona hesabu hazipandi hakikisha mwanao anakazania hesabu ili asiulize maswali kama haya
kwahiy mimi ninaeweka milion naweza kuiba pen ya mia hiz n dharau za wazi walinz wa kaz gan sasa
 
kwahiy mimi ninaeweka milion naweza kuiba pen ya mia hiz n dharau za wazi walinz wa kaz gan sasa
Mnaiba na ndio maana zinafungwa. Halafu sio Tz peke yake hata nchi za watu sehemu nyingi tu pen zinafungwa

Unataka mlinzi akague watu wangapi kwaajili ya pen huoni kufunga ni kuokoa nguvu na muda. Msikimbie Hisabati
 
BANK bwana sie tunaweka mamilioni yetu tuna waamini ila wao peni yao ya sh. 100 wanaifunga kamba ina maanisha hawatuamini????? tutaiba au???
ndo mana mi huwa naenda na wembe benki,,,mda ambao joto limejaa mjini, mi nakula kiyoyozi tu, mwisho wembe wangu unafanya kaz kwenye kamba ya peni
 
Unaenda na mamilion lkn unashndwa kununua peni yako uende nayo du!! tatizo naona lipo kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…