Tetesi: Bank zilizofungiwa na BOT

Tetesi: Bank zilizofungiwa na BOT

Kiambafuli

Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Wakuu embu nihabarisheni kwa uelewa wangu
Nimesikia from clouds media. Kuwa Bodi ya
Bima ya Amana itawalipa Wateja kiasi cha juu
1.5m bila kujali mteja alikuwa na kiasi gani .
Wenye kiwango chini ya 1.5m watalipwa
Zote. How this coming ??
 
How this coming ??
Ni hivi, mfano wewe ulikuwa na Tsh laki tano kwenye akaunti ya benki, utalipwa laki tano yote.
Mfano mie nilikuwa na milioni mbili kwenye akaunti, nitalipwa hadi milioni mja na nusu. Hiyo laki tano iliyobaki nitakuja kulipwa benki ikifanikiwa kukusanaya madeni ya nje... Hilo litafanyika hata kama ni baada ya miaka kumi.
 
Duh . Noted thanks
 
Itakusanya madeni gani wakati imefutiwa leseni ya Biashara?....Benki ikiwa chini ya BOT ndio inakusanya madeni....hapo waliokuwa na akaunti benki watalipwa na BOT hata kama ni milioni 100...acha kupotosha watu wewe
 
Bodi ya bima ndiyo itafanya hiyo kazi ya ukusanyaji wa madeni...
Bodi ya bima ni kitengo kilichoko BOT.......kila benki ina amana zake BOT ikifilisika wateja wenye pesa zao wanalipwa na BOT kupitia amana zao na wanalipwa pesa zote hata kama ni milioni 100 ........Ukisikia benki imefilisika ujue hata madeni hayapo tena au hayalipiki kabisa.....sasa hiyo ya kukusanya madeni ya nje umeitoa wapi wakati hayo madeni yameshindwa kulipika na benki imefungwa?.....unadhani kuna mtu atakaelipa deni wakati anajua benki imeshafutiwa leseni ya biashara?
 
Ndio nilikuwa natafakari the huge amount inakuwaje?? Hatari sana au wateja wao
Waliluwa na amounts below 2m
My be .
 
Aiseeh embu nieleweshe kwenye hiki kipengele

Kuwa Bodi ya
Bima ya Amana itawalipa Wateja kiasi cha juu
1.5m bila kujali mteja alikuwa na kiasi gani .
Wenye kiwango chini ya 1.5m watalipwa
Zote.

Msaada hapo tafadhali.
 
Ndio nilikuwa natafakari the huge amount inakuwaje?? Hatari sana au wateja wao
Waliluwa na amounts below 2m
My be .
kiukweli hizi benki ndogo ndogo wanaoweka akiba ni ili wapate sifa ya kupata mikopo na sio kwa ajili ya savings....lakini hata mwenye akaunti ya pesa nyingi atalipwa zote na BOT.......benki zote ziko chini ya usimamizi wa BOT kwa hiy hata zikifilisika BOT wanawalipa pesa zenu.....kuna benki moja ya kigeni Meridian Biao haikuwa chini ya usimamizi wa BOT ikafilisika watu walipoteza pesa zao zote
 
Utaachaje kulipa kwa mfano wakati hati yako ya nyumba iko benki?
mkuu hizo benki kuna ufisadi mno sisi tuliofanya kazi huko tunajua kuanzia wajumbe wa bodi kujikopesha hovyo hvyo bila kulipa.., wafanyakazi kutoa mikopo hewa, hati za nyumba feki, utakuta hati moja imetumika kkukopa benki zaiidi ya tatu,,,,,kiufupi hizi benki zinafilisiwa na wafanyakazi na watendaji wake
 
So mkuu itachukua mda gani kwa wale ambao wana amana kubwa benki kulipwa
 
nadhani ndani ya mwezi huu wenye amana wataanza kulipwa ...benki kufilisiwa sio kwamba haina hata mia bali kiwango cha hasara kinaongezeka kila mwaka kiasi cha kuhatarisha amana za wateja.....benki inatakiwa iwe na mtaji mkubwa kupita amana za wateja....hapo mtaji ukishuka ukawa sawa na amana za wateja benki inapigwa stop ili kulinda amana za wateja zisipotee....hiyo ndio kazi ya BOT kulinda amana za wateja zisipotee
 
Okeeee haina shaka mkuu tupo pamoja. Ila kesho ngoja niwatimbie BOT aseee
 
Aisee inamaana hizi benki zilishindwa hata kuwekeza kwenye bitcoin au forex? Maana ni hela nje nje!
 
Mali za benki ni mikopo. Kwa kawaida benki huchukua dhamana za hati za nyumba. Sasa "wajanja" wakipewa mikopo na washikaji maafisa mikopo hawarejeshi wanakula bata kwa sana matokeo yake benki hufilisika.

Sasa Mfilisi akikabidhiwa benki usiambiwe bwana! analiamsha dude kwa zile hati alizozikuta hapo anavaa uso wa mbuzi hacheki na kima huuza nyumba moja baada ya moja hata kama miaka mitano, saba, kumi na hizi hulipwa wale wateja wenye amana kubwa na wadai wengine.
 
mkuu hizo benki kuna ufisadi mno sisi tuliofanya kazi huko tunajua kuanzia wajumbe wa bodi kujikopesha hovyo hvyo bila kulipa.., wafanyakazi kutoa mikopo hewa, hati za nyumba feki, utakuta hati moja imetumika kkukopa benki zaiidi ya tatu,,,,,kiufupi hizi benki zinafilisiwa na wafanyakazi na watendaji wake
Nakuunga mkono kwa hilo ililosema
 
Kwa hiyo waliokuwa na mikopo kwenye benki hizo ndo grisiiiii automatically imewamwagikiaa au ?
 
Mali za benki ni mikopo. Kwa kawaida benki huchukua dhamana za hati za nyumba. Sasa "wajanja" wakipewa mikopo na washikaji maafisa mikopo hawarejeshi wanakula bata kwa sana matokeo yake benki hufilisika.

Sasa Mfilisi akikabidhiwa benki usiambiwe bwana! analiamsha dude kwa zile hati alizozikuta hapo anavaa uso wa mbuzi hacheki na kima huuza nyumba moja baada ya moja hata kama miaka mitano, saba kumi na hizi hulipwa wale wateja wenye amana kubwa na wadai wengine.
halafu usijidanganye wakopaji wote wanaweka hati za nyumba kuna watu wamekopa mpaka laki tano wameweka dhamana ya vitu vya ndani makochi, tv, kabati,bodaboda,hao ndio wakorofi hawalipi na siku ukienda kudai unakuta vitu kashahamisha hukuti kitu hakuna kazi ngumu kama kudai madeni kuuza nyumba ni mchakato mrefu sana na nyumba nyingi zinapigwa stop order mahakamani na wanafamilia kuna kesi nyingi sana za nyumba mahakama ya biashara
 
Back
Top Bottom