Kiambafuli
Member
- Aug 16, 2015
- 9
- 0
Ni hivi, mfano wewe ulikuwa na Tsh laki tano kwenye akaunti ya benki, utalipwa laki tano yote.How this coming ??
Ni hivi, mfano wewe ulikuwa na Tsh laki tano kwenye akaunti ya benki, utalipwa laki tano yote.
Mfano mie nilikuwa na milioni mbili kwenye akaunti, nitalipwa hadi milioni mja na nusu. Hiyo laki tano iliyobaki nitakuja kulipwa benki ikifanikiwa kukusanaya madeni ya nje... Hilo litafanyika hata kama ni baada ya miaka kumi.
Itakusanya madeni gani wakati imefutiwa leseni ya Biashara?....Benki ikiwa chini ya BOT ndio inakusanya madeni....hapo waliokuwa na akaunti benki watalipwa na BOT hata kama ni milioni 100...acha kupotosha watu weweNi hivi, mfano wewe ulikuwa na Tsh laki tano kwenye akaunti ya benki, utalipwa laki tano yote.
Mfano mie nilikuwa na milioni mbili kwenye akaunti, nitalipwa hadi milioni mja na nusu. Hiyo laki tano iliyobaki nitakuja kulipwa benki ikifanikiwa kukusanaya madeni ya nje... Hilo litafanyika hata kama ni baada ya miaka kumi.
Bodi ya bima ndiyo itafanya hiyo kazi ya ukusanyaji wa madeni...Itakusanya madeni gani wakati imefutiwa leseni ya Biashara?....Benki ikiwa chini ya BOT ndio inakusanya madeni....hapo waliokuwa na akaunti benki watalipwa na BOT hata kama ni milioni 100...acha kupotosha watu wewe
Bodi ya bima ni kitengo kilichoko BOT.......kila benki ina amana zake BOT ikifilisika wateja wenye pesa zao wanalipwa na BOT kupitia amana zao na wanalipwa pesa zote hata kama ni milioni 100 ........Ukisikia benki imefilisika ujue hata madeni hayapo tena au hayalipiki kabisa.....sasa hiyo ya kukusanya madeni ya nje umeitoa wapi wakati hayo madeni yameshindwa kulipika na benki imefungwa?.....unadhani kuna mtu atakaelipa deni wakati anajua benki imeshafutiwa leseni ya biashara?Bodi ya bima ndiyo itafanya hiyo kazi ya ukusanyaji wa madeni...
Bodi ya bima ni kitengo kilichoko BOT.......kila benki ina amana zake BOT ikifilisika wateja wenye pesa zao wanalipwa na BOT kupitia amana zao na wanalipwa pesa zote hata kama ni milioni 100 ........Ukisikia benki imefilisika ujue hata madeni hayapo tena au hayalipiki kabisa.....sasa hiyo ya kukusanya madeni ya nje umeitoa wapi wakati hayo madeni yameshindwa kulipika na benki imefungwa?.....unadhani kuna mtu atakaelipa deni wakati anajua benki imeshafutiwa leseni ya biashara?Bodi ya bima ndiyo itafanya hiyo kazi ya ukusanyaji wa madeni...
Itakusanya madeni gani wakati imefutiwa leseni ya Biashara?....Benki ikiwa chini ya BOT ndio inakusanya madeni....hapo waliokuwa na akaunti benki watalipwa na BOT hata kama ni milioni 100...acha kupotosha watu wewe
Aiseeh embu nieleweshe kwenye hiki kipengeleBodi ya bima ni kitengo kilichoko BOT.......kila benki ina amana zake BOT ikifilisika wateja wenye pesa zao wanalipwa na BOT kupitia amana zao na wanalipwa pesa zote hata kama ni milioni 100 ........Ukisikia benki imefilisika ujue hata madeni hayapo tena au hayalipiki kabisa.....sasa hiyo ya kukusanya madeni ya nje umeitoa wapi wakati hayo madeni yameshindwa kulipika na benki imefungwa?.....unadhani kuna mtu atakaelipa deni wakati anajua benki imeshafutiwa leseni ya biashara?
kiukweli hizi benki ndogo ndogo wanaoweka akiba ni ili wapate sifa ya kupata mikopo na sio kwa ajili ya savings....lakini hata mwenye akaunti ya pesa nyingi atalipwa zote na BOT.......benki zote ziko chini ya usimamizi wa BOT kwa hiy hata zikifilisika BOT wanawalipa pesa zenu.....kuna benki moja ya kigeni Meridian Biao haikuwa chini ya usimamizi wa BOT ikafilisika watu walipoteza pesa zao zoteNdio nilikuwa natafakari the huge amount inakuwaje?? Hatari sana au wateja wao
Waliluwa na amounts below 2m
My be .
Utaachaje kulipa kwa mfano wakati hati yako ya nyumba iko benki?.unadhani kuna mtu atakaelipa deni wakati anajua benki imeshafutiwa leseni ya biashara?
mkuu hizo benki kuna ufisadi mno sisi tuliofanya kazi huko tunajua kuanzia wajumbe wa bodi kujikopesha hovyo hvyo bila kulipa.., wafanyakazi kutoa mikopo hewa, hati za nyumba feki, utakuta hati moja imetumika kkukopa benki zaiidi ya tatu,,,,,kiufupi hizi benki zinafilisiwa na wafanyakazi na watendaji wakeUtaachaje kulipa kwa mfano wakati hati yako ya nyumba iko benki?
So mkuu itachukua mda gani kwa wale ambao wana amana kubwa benki kulipwamkuu hizo benki kuna ufisadi mno sisi tuliofanya kazi huko tunajua kuanzia wajumbe wa bodi kujikopesha hovyo hvyo bila kulipa.., wafanyakazi kutoa mikopo hewa, hati za nyumba feki, utakuta hati moja imetumika kkukopa benki zaiidi ya tatu,,,,,kiufupi hizi benki zinafilisiwa na wafanyakazi na watendaji wake
nadhani ndani ya mwezi huu wenye amana wataanza kulipwa ...benki kufilisiwa sio kwamba haina hata mia bali kiwango cha hasara kinaongezeka kila mwaka kiasi cha kuhatarisha amana za wateja.....benki inatakiwa iwe na mtaji mkubwa kupita amana za wateja....hapo mtaji ukishuka ukawa sawa na amana za wateja benki inapigwa stop ili kulinda amana za wateja zisipotee....hiyo ndio kazi ya BOT kulinda amana za wateja zisipoteeSo mkuu itachukua mda gani kwa wale ambao wana amana kubwa benki kulipwa
Okeeee haina shaka mkuu tupo pamoja. Ila kesho ngoja niwatimbie BOT aseeenadhani ndani ya mwezi huu wenye amana wataanza kulipwa ...benki kufilisiwa sio kwamba haina hata mia bali kiwango cha hasara kinaongezeka kila mwaka kiasi cha kuhatarisha amana za wateja.....benki inatakiwa iwe na mtaji mkubwa kupita amana za wateja....hapo mtaji ukishuka ukawa sawa na amana za wateja benki inapigwa stop ili kulinda amana za wateja zisipotee....hiyo ndio kazi ya BOT kulinda amana za wateja zisipotee
Nakuunga mkono kwa hilo ililosemamkuu hizo benki kuna ufisadi mno sisi tuliofanya kazi huko tunajua kuanzia wajumbe wa bodi kujikopesha hovyo hvyo bila kulipa.., wafanyakazi kutoa mikopo hewa, hati za nyumba feki, utakuta hati moja imetumika kkukopa benki zaiidi ya tatu,,,,,kiufupi hizi benki zinafilisiwa na wafanyakazi na watendaji wake
halafu usijidanganye wakopaji wote wanaweka hati za nyumba kuna watu wamekopa mpaka laki tano wameweka dhamana ya vitu vya ndani makochi, tv, kabati,bodaboda,hao ndio wakorofi hawalipi na siku ukienda kudai unakuta vitu kashahamisha hukuti kitu hakuna kazi ngumu kama kudai madeni kuuza nyumba ni mchakato mrefu sana na nyumba nyingi zinapigwa stop order mahakamani na wanafamilia kuna kesi nyingi sana za nyumba mahakama ya biasharaMali za benki ni mikopo. Kwa kawaida benki huchukua dhamana za hati za nyumba. Sasa "wajanja" wakipewa mikopo na washikaji maafisa mikopo hawarejeshi wanakula bata kwa sana matokeo yake benki hufilisika.
Sasa Mfilisi akikabidhiwa benki usiambiwe bwana! analiamsha dude kwa zile hati alizozikuta hapo anavaa uso wa mbuzi hacheki na kima huuza nyumba moja baada ya moja hata kama miaka mitano, saba kumi na hizi hulipwa wale wateja wenye amana kubwa na wadai wengine.