Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
wanajf naomba wenye taarifa za kibenk nakoweza pata personal loan bila longolongo za momorandam of understanding kati ya employer na Bank. mabenk mengi naona hawakubali kukopesha kama hamna makubaliano kati ya mwajiri na bank hata kama mshahara wangu unapita katika hiyo bank,
kama yupo aliyeweza kupata kwa njia tofauti na hiyo naomba atujulishe na kwa mashariti yapi mbadala!................. waajiri wengi ni wagumu kusign makubaliano na mabank wanaroho mbaya sana)
terms zikoje na mashart ya mkopo yakoje!Karibu JF EMPOWERMENT SACCOSS, join today!!!
hapo nimeenda juzi wanazingua zingua! Au natumia njia gani mkuunenda Stanbic
Karibu JF EMPOWERMENT SACCOSS, join today!!!
thanks mkuu ntachek nao kesho vp hawana mashart mengne kama ya mou (makubaliano ya bank na mwajiri)nenda barclays. Wana premium account. Wanawezesha kukopesha hadi 20 times ya mshahara wako kama una net take home ya zaidi ya milioni moja.
thanks ntawajaribu tena, kuna officer nilimkuta majuz akanijibu simple nahis alikuwa amechoka!Kituko kashasema,nenda stanbic. Nami narudia humo humo ktk maneno yake.
ingawa siyo wa busness ila hawa jamaa ribar yao iko juu sana ukiwa makini wa mahesabu riba yao kwa mwaka inazidi 45%.jaribu access bank, nadhani watakukopesha tu ila huwa wanawakopesha wafanya biashara zaidi. moja ya masharti ni kuwa na leseni ya biashara na vitu vya ndani pamoja na vya dukani vinaweza kukudhamini,keep it up, na siu moja utafanikisha..ukifanikiwa usisite kufanya kasherehe tukala angalau 10%.....joking!