Bankers wanahitajika..

Umefanya uungwana kwa apology uliyotoa. Hata hivyo ulichokifanya sioni kama ni makosa kwa upande mwingine, maana kuna matapeli wachache wanaendelea ku-capitalise kwenye ukosefu wa ajira
 
Kwa nini hukufanya uchunguzi kwanza ndio uongee?? unakuwa kama serikali ya Tz.....kukurupuka tu...wakija wakijua ukweli huwa wanakuwa wadogo kama Priton....

Hakukua na Haja ya Uchunguzi ww kilaza coz huyo jamaa katoa fake email tena kaandika uba recruit hiyo huwezi kueleweka hata kidogo lakini jamaa baada ya kukiri kuwa ame create hapo ndo nikaenda to the next step ya kufanya analysis.
 
Mkuu well said naomba utambue kua nina akili timamu lakini ukiteleza kidogo tu nakua ckuelewi nyie watu wanaibiwa sana tena humuhumu JF
 
Karibu na hongera kwa kuwa muungwana, common sense ilikua inasema hakuna wizi wowote kwa hili, nilikuasioni ni vipi mtoa mada anaweza kukutapei kwa mazingira haya

Asante sana mkuu kwa kuyaona haya nadhani unachotakiwa kuelewa matapeli mjini ni wengi na mbinu zao ni kama hizi. Nashukuru majany amejieleza vizuri mpaka nikashawishika ku prove na nimeona mkuu alikosea approach kidogo ikaonekana ina zengwe. mara PM mara fake mails nikaona hii sio ishu.
 
Last edited by a moderator:
Sio ishu,km vp tu'close hii mambo tukajadili vitu tofauti.......Leo Mh.Wenje kawaambia Magamba kwanba ni narrow minded.....I vote the man to be right..
 
Sio ishu,km vp tu'close hii mambo tukajadili vitu tofauti.......Leo Mh.Wenje kawaambia Magamba kwanba ni narrow minded.....I vote the man to be right..

bado wewe, dealine lini? nimeku-email, upata mail yangu?
 
mkuu watu wengi hawaja meet vigezo....please send your apps....bt nafikiri in two weeks time...wataanza kuita watu wengine.
 
Hakukua na Haja ya Uchunguzi ww kilaza coz huyo jamaa katoa fake email tena kaandika uba recruit hiyo huwezi kueleweka hata kidogo lakini jamaa baada ya kukiri kuwa ame create hapo ndo nikaenda to the next step ya kufanya analysis.

Kati ya mimi na wewe aliyeonekana kilaza katika hili ni nani?? kama mimi ni kilaza wewe utakuwa nani??......akili mgando!!
 
Kati ya mimi na wewe aliyeonekana kilaza katika hili ni nani?? kama mimi ni kilaza wewe utakuwa nani??......akili mgando!!

Mie na akili mgando lakini wewe nadhani una matope na sio akili. Ni bora ungekua na akili ya aina yoyote ile ningekuona ahueni lakini hamna kitu hapo.
 
Mie na akili mgando lakini wewe nadhani una matope na sio akili. Ni bora ungekua na akili ya aina yoyote ile ningekuona ahueni lakini hamna kitu hapo.

Ulivyopiga kelele kuwa unaibiwa utafikiri una hela ya kuibiwa.....kumbe unaganga njaa tu......
 
Ulivyopiga kelele kuwa unaibiwa utafikiri una hela ya kuibiwa.....kumbe unaganga njaa tu......

Kuna mtu asiyeganga njaa hapa duniani wote tunahangaika hapa mjini ili tusife njaa Invisible daily anakesha anakodoa macho kwenye pc asife njaa labda unaelewa nn maana ya kuganga njaa?

Naweza kukufananisha na Mchumi daraja la kwanza ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…